Monday, December 9, 2013

Sikiliza kwa makini Hotuba ya January Makamba katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara Washington DC


Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipoongea na waTanzania waishio DMV katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani

Watanzania waishio DMV kwa makini wakimsikiliza Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipokua akihutubia katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani

Wanajumuiya ya DMV   wakimsikiliza  Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipokua akihutubia katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika  Siku ya Jumamosi ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani
Mhamasishaji wa  sherehe nzima ya Uhuru wa Tanzania Tumaini Kaisi Katule akimakinika kumsikiliza Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipokua akihutubia katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika  Siku ya Jumamosi ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment