Friday, December 6, 2013

Kutoka Bungeni Mjini Dodoma


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Desemba 5, 2013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kushoto) na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa,kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge mjini Dodoma Desemba  5, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kabla  ya kipindi cha maswali kjwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma  Desemba 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 5, 2013
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013. Picha na Ofisi ya `Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment