Friday, April 8, 2011

NI VISINGINO VYA AFRICAN STARS JUMATANO BILICANAS

Shughuli yenyewe ilianza saa nne usiku huku King kif nikiwa ndani ya nyumba na wajomba kibao ....hivyo katika ta saa sita na nusu ndipo nikaanza kuchukua picha za matukio ....nina picha kibao zaidi ya unavyoweza kudhani....sasa kuja!

Will Russell Take Back Def Jam? Charlie B-More Fires Back! JA Rule Gets $!

Hip-Hop Rumors:

By illseed

RUSSELL SIMMONS TO RETURN TO DEF JAM?



I am hearing a rumor that Russell Simmons may be returning to the helm at Def Jam Records. Not sure why, but it seems possible. Russ is the man, along with co-founder Rick Rubin, who made Def Jam the giant it is. You think Russ can do it!?

MARIAH TOPLESS!


Not a good look.



JA RULE MAKING MONEY BEFORE JAIL




I am getting word that Ja Rule has gone on a tour of Australia to pick up and make a few quick bucks before he goes to jail on gun charges. Ja's got like three years. While he was there, he managed to diss 50 Cent as well. I mean, 3 years is quite a bit of revenue.

WENDY WILLIAMS FEET

MY GOD-ZILLA. What would make Wendy twitpic her dogs looking like this?

Click the image to open in full size.

CHARLIE BALTIMORE RESPONDS TO HER MALE KAT STACKS

The dude said a bunch of bad stuff about Charlie B-more now the Philly fiend responds.

Chanzo ni www.allhiphop.com

POZI LA WIKI !


Dataz , Da Regina Mwalekwa na Sophia(pozi la wiki!)

MHE. JOHN MNYIKA...

Kesho nitamwandikia rasmi Spika kuwa sikuridhishwa na jibu la serikali kwa swali langu kuhusu uchunguzi na hatua zilizochukuliwa kutokana na ufisadi wa takribani bilioni 40 uliofanywa na kampuni ya Kagoda. Haiwezekani fedha za miradi ya maji nk zitatengwa kidogo wakati kuna nyingi zinazopotea kwa ufisadi. Serikali inapaswa kutoa kauli ya kina.

POZI KALI !


NY PRODUCTIONS INAWALETEA...


Hussein Aman Kulindwa....

Namshukuru Jehova kwamba safari ya kuchapa kitabu sasa imebaki ... tu ambazo haziumizi kichwa changu zaidi ya kujibana kiasi. Lakini huenda nikaanza na MAUMIVU YENYE RAHA, Kisha, BABAMKWE, FADHAA, LAANA YA NGONO, PROMOTA. RUN NIGGER RUN, TO THE MOTHER'S TOMB, DUDUBAYA, THE DEAD. Etc Thank you Jesus as im starting to experience the result of Your BLESSING ME. Thanks My Lord .