Wednesday, August 17, 2011

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Akitia Chakula Cha Futari.........

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein, akitia chakula cha futari iliyoandaliwa na Uongozi wa Benki ya watu wa Zanzibar, PBZ, wakati aliposhiriki pamoja na viongozi wengine pia wakiwemo wafanya biashara mbali nbali, katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort jana. Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment