Friday, April 8, 2011

MHE. JOHN MNYIKA...

Kesho nitamwandikia rasmi Spika kuwa sikuridhishwa na jibu la serikali kwa swali langu kuhusu uchunguzi na hatua zilizochukuliwa kutokana na ufisadi wa takribani bilioni 40 uliofanywa na kampuni ya Kagoda. Haiwezekani fedha za miradi ya maji nk zitatengwa kidogo wakati kuna nyingi zinazopotea kwa ufisadi. Serikali inapaswa kutoa kauli ya kina.

No comments:

Post a Comment